Huyu ndiye rais wa chuo kikuu cha mzumbe-mbeya

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
495
Reaction score
379
Bwana Theophili Theonest nimesoma nae chuo kimoja ila madarasa tofuti, tumelala Hostel moja ila vyumba tofauti, Yeye alianza kusoma diploma ya Sheria Pale Mzumbe-Mbeya naona ndo amejiunga kwa sasa kusomea Degree wakati huo mimi nilikuwa mwaka wa pili pale chuoni nikisomea Degree ya sheria.

Wakati amejiunga pale alinifuata kunitaka ushauri kuhusu nafasi gani anaweza kugombea mimi nikamwambia anza na U-CR, Yaan Class Representative, alichukua form na akateuliwa na tume ya uchuguzi pale chuoni na bahati nzuri alishinda, mwaka uliofuata aligombea U-FR, yaani Faculty Representative alishinda, yeye ni Askari Magereza, na anapenda sana kunywa pombe na anapenda sana kitu kidogo yaani Rushwa, ingawa kichwani yupo vizuri lakini siyo sana. Baada ya kusikia taarifa kuwa amejitokeza kusema kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekubaliana kuwa JANUARI Makamba agombee Urais na kumshuhudia akizungumza kupitia kituo cha Star-tv nikaona ni bora nimlete kwenu mumfahamu vizuri.
 
Anatafuta cheo kwa haraka baada ya kumaliza ka degree kake hako anako katafuta na njaa kubwa juu .
 
Sitaki kuamini lile tamko ni la umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu. Ikiwa ndivyo, basi wameujulisha uma juu ya kiwango cha upumbavu walichonacho. Haiingii akilini wasomi kutoa tamko kama lile.I still believe the statement was from a bunch of overboozed useless assholes disguised as wasomi.
 
Bwana Theophili Theonest nimesoma nae chuo kimoja ila madarasa tofuti, tumelala Hostel moja ila vyumba tofauti, Yeye alianza kusoma diploma ya Sheria Pale Mzumbe-Mbeya naona ndo amejiunga kwa sasa kusomea Degree wakati huo mimi nilikuwa mwaka wa pili pale chuoni nikisomea Degree ya sheria.

Wakati amejiunga pale alinifuata kunitaka ushauri kuhusu nafasi gani anaweza kugombea mimi nikamwambia anza na U-CR, Yaan Class Representative, alichukua form na akateuliwa na tume ya uchuguzi pale chuoni na bahati nzuri alishinda, mwaka uliofuata aligombea U-FR, yaani Faculty Representative alishinda, yeye ni Askari Magereza, na anapenda sana kunywa pombe na anapenda sana kitu kidogo yaani Rushwa, ingawa kichwani yupo vizuri lakini siyo sana. Baada ya kusikia taarifa kuwa amejitokeza kusema kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekubaliana kuwa JANUARI Makamba agombee Urais na kumshuhudia akizungumza kupitia kituo cha Star-tv nikaona ni bora nimlete kwenu mumfahamu vizuri.

Wewe mshauri wake ndio unakuja kufahamu leo kwamba hafai? Siku zoote umeshauriana naye na akawa anashinda. Wewe ni kama mentor wake wa kisiasa (siasa za vyuo). Leo anaoneka mbele ya macho yako hafai; mkuu nadhani wewe na yeye wote hamfai.
 
Hvi kiongozi gani kijana amesoma Mzumbe? Embu mtajeni 2mfananishe na huyu.
 
Bwana Theophili Theonest nimesoma nae chuo kimoja ila madarasa tofuti, tumelala Hostel moja ila vyumba tofauti, Yeye alianza kusoma diploma ya Sheria Pale Mzumbe-Mbeya naona ndo amejiunga kwa sasa kusomea Degree wakati huo mimi nilikuwa mwaka wa pili pale chuoni nikisomea Degree ya sheria.

Wakati amejiunga pale alinifuata kunitaka ushauri kuhusu nafasi gani anaweza kugombea mimi nikamwambia anza na U-CR, Yaan Class Representative, alichukua form na akateuliwa na tume ya uchuguzi pale chuoni na bahati nzuri alishinda, mwaka uliofuata aligombea U-FR, yaani Faculty Representative alishinda, yeye ni Askari Magereza, na anapenda sana kunywa pombe na anapenda sana kitu kidogo yaani Rushwa, ingawa kichwani yupo vizuri lakini siyo sana. Baada ya kusikia taarifa kuwa amejitokeza kusema kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekubaliana kuwa JANUARI Makamba agombee Urais na kumshuhudia akizungumza kupitia kituo cha Star-tv nikaona ni bora nimlete kwenu mumfahamu vizuri.
peleka kwenye jukwaa la siasa huku atusaidii chochote...alafu ww hii thread ilikuwepo kule kwenye jukwaa la siasa au unataka watu wote wajue kuwa ww ndo ulimshauri...hacha sifa za kijinga ----- wewe
 
Back
Top Bottom