Elections 2010 Huyu ndiye real JK!

Sawa nadhani itakuwa sio mbaya kama mnataka kuleta hayo mambo unayosema. Ila nataka nitoe angalizo kwa wale watakaoleta hayo mambo: Tunaomba watuletee yakiwa na ushahidi la sivyo itaonekana ni maneno ya vijiweni tu ambayo hayana maana wala msingi wowote.


Mpenda siasa asiye na chama
 
kukata mzizi wa fitina tunaomba cheti cha ndoa ya Bi Josephine na mumewe.pia tunaomba mlalamikaji (mume aliye achwa) awe msemaji mkuu kwani shughuli ni yake.watanzania tuweni makini huu si wakati wa kujadiliwa suala hili ni wakati wa kusikiliza sera na hoja za wagombea na kuzichambua vizuri kwani hapo ndo hatima ya maisha ya watanzania walio masikini.
 

Tupe zote. Tunajua kuwa kwa urambaramba wake ameramba hata taka za ohio
 
lakini kuna mtu yeyote aliyejitokeza rasmi kudai kuporwa mke na jk?
kama hakuna wa kujitokeza mahakamani hapo utaonekana mfitini tu.
kuna mtu yeyote anayeweza kuweka pingamizi akitoa sababu ya afya ya jk na kukawa na uwezekano wa kuwepo shauri?

am afraid hakuna vitu kama hivyo; sasa tunalalama nini?
 

Hizi nazo ni sera? Je wananchi hawatakiwi kuhoji afya ya kiongozi mkuu anayeanguka kila siku?
 

Akisikia hiki kibao lazima aende msalani :violin:

YouTube - Sea - Papi Kocha, Nguza Viking
 
Mkuu nasikia Dodoma Jk ana watoto watatu,ila watu hawataki kusema tu!
Ngoja wajichanganye kwa kukosa sera na kuanza kutafuta sababu zisizo za msingi kumchafua Rais Wetu mtarajiwa Dk.Slaa,
Wataumbuliwa vibaya wao Wenyewe nahisi hawajafikiria vizuri uozo wao!

 
Hi kikwete sio huyu ambaye alitolewa kwenye blog ya "ze utamu (yaani utamu wa kujing'ata ulimi"mpaka ikafungwa blog yetu ya mambo ya kiutuuzima?................
 

Hapa kaka umekandamiza vizuri.Kwa upande wa baba paroko SLAA tayari mtu amejitokeza rasmi kudai kuporwa mke wake.
 

Kikwete Hawezi kukimbia kwenye ufuska wake mbona zipo nyingi au wewe hujui kuwa kunataalifa zilienea kuwa anangoooo... acha hizo wewe!!
 

Kwanza NEXT TIME ukiandika usitomie rangi yetu tukufu ya KIJANI!!.... na huyu mama ameenea katika blog za chadema tu!! haha!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hizi nazo ni sera? Je wananchi hawatakiwi kuhoji afya ya kiongozi mkuu anayeanguka kila siku?






sio sera.
wanaruhusiwa lakini daktari wake (jk) alishatoa sababu ya kudondoka kwake na ikawa wazi kwamba si kifafa.
 
Kwanza NEXT TIME ukiandika usitomie rangi yetu tukufu ya KIJANI!!.... na huyu mama ameenea katika blog za chadema tu!! haha!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Amka kijana usitazame Rangi! Kwan rangi nini?.Fikiria uhalisia wa Chama na Watu wake ukijumuisha sera na siasa zake!
Ukweli ni kwamba CCM na Ukijani wake imesha Expire! habari ndio hiyo! Nakushauri Uhame CCM as soon as Possible!
KIDUMAE CHAMA CHA MAPINDUZI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…