duh ahahahahahSisi wa freebasics mnatutenga.
Ray C lile tejja?Wanamuziki wa kike hapa duniani ninao wakubali ni watatu tu
Celine dion,shania twain na ray c
mbona Na Wewe hamissa huna nyama?Huyu ruby full kipapatio hana nyama hata
Lakis siko kama ruby jaman yaani ruby na nandy tofauti yao majina tu lakin wote ni wana vipapatiombona Na Wewe hamissa huna nyama?
[emoji23]Lakis siko kama ruby jaman yaani ruby na nandy tofauti yao majina tu lakin wote ni wana vipapatio
Hizi id zinaficha mengi sana.duh jf si mmejaa maC. E. O humu??
acha masihara mkuu ..huyo rayc hapaswi kuwekwa kwenye list ya unao wakubali duniani aisee.."",Wanamuziki wa kike hapa duniani ninao wakubali ni watatu tu
Celine dion,shania twain na ray c
sasa upo kwenye akili yake mkuu?acha masihara mkuu ..huyo rayc hapaswi kuwekwa kwenye list ya unao wakubali duniani aisee.."",
Wa hivyo ndo watamu sasaHuyu ruby full kipapatio hana nyama hata
PoleeSisi wa freebasics mnatutenga.