huyu ndiye Twite mchezaji wa Yanga aliyetua leo Uwanja wa ndege, mchezaji huyu Mcongo aliyekuwa akiichezea APR ya Rwanda pia alikuwa akiwaniwa na Simba.
nataman atakapokua anaondoka ataagwa hivi hivi,kama mna kumbukumbu Asamoah naye alipokelewa uwanjani baada ya Rage kumtangaza Simba, je kuna yoyote anayejua hata aliondokaje?