Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s.
Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au tumtegemee mwingine? Tanganyika inatakwa kwa muda mrefu sana. Kama ambavyo Zanzinar inatakwa kwa muda mrefu.
Tanganyika inakaliwa na Rais ambaye anatokea Zanzibar. Hana uchungu na kuuza mali za nchi. Na watanganyika wachache walio naye wanaimba nyimbo za sifa na kuabudu as long as wanapata chochote kitu.
Je, Huyu ndiye au tumtegemee mwingine?