Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s.
Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au tumtegemee mwingine? Tanganyika inatakwa kwa muda mrefu sana. Kama ambavyo Zanzinar inatakwa kwa muda mrefu.
Tanganyika inakaliwa na Rais ambaye anatokea Zanzibar. Hana uchungu na kuuza mali za nchi. Na watanganyika wachache walio naye wanaimba nyimbo za sifa na kuabudu as long as wanapata chochote kitu.
Je, Huyu ndiye au tumtegemee mwingine?
Elimu, Elimu, Elimu.Unafiki tu umamsumbua
Hakuna siyo tu wa kuvunja Muungano bali hata wa kuutikisa! Msivimbishane vichwa. Kujaribu kuvunja Muungano ni uhaini. Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilishaundwa tangu Aprili 26, 1964. 🙏🙏🙏Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s.
Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au tumtegemee mwingine? Tanganyika inatakwa kwa muda mrefu sana. Kama ambavyo Zanzinar inatakwa kwa muda mrefu.
Tanganyika inakaliwa na Rais ambaye anatokea Zanzibar. Hana uchungu na kuuza mali za nchi. Na watanganyika wachache walio naye wanaimba nyimbo za sifa na kuabudu as long as wanapata chochote kitu.
Je, Huyu ndiye au tumtegemee mwingine?
wapi video mkuu?Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s.
Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au tumtegemee mwingine? Tanganyika inatakwa kwa muda mrefu sana. Kama ambavyo Zanzinar inatakwa kwa muda mrefu.
Tanganyika inakaliwa na Rais ambaye anatokea Zanzibar. Hana uchungu na kuuza mali za nchi. Na watanganyika wachache walio naye wanaimba nyimbo za sifa na kuabudu as long as wanapata chochote kitu.
Je, Huyu ndiye au tumtegemee mwingine?
Nyimbo za kusifu na kuabudu kila upuuzi ufanywao mwisho wake u karibu. Mungu ibariki Tanganyika.Hana uchungu na kuuza mali za nchi. Na watanganyika wachache walio naye wanaimba nyimbo za sifa na kuabudu as long as wanapata chochote kitu.
Mbona sasa yeye amekuwa straight kakataa unafiki sheikh? Mi nimependa kuwa amesimama kiume bila unafiq au kuuma uma maneno.Unafiki tu umamsumbua
VP kulikoni!? Mshale wake umekuchoma tkoni!Unafiki tu umamsumbua
Ungeweza tu kwenda kwa comment yako uka edit haya maneno uliyokosea.Inawezekana MkuuCorrection:Hoja na mantiki
SawaNi wakati wa Watanganyika kuilinda Tanganyika Yao kuliko wakati Wowote.
SawaLa serikali tatu halikwepeki kwenye Katiba mpya.