Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Nataka niongeze pafomansi maana imelalamikiwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nimeanza muda si mrefu tu
Ooh! Kama ni hvyo jitahidi bwana usije gongewa bure maana wadada wa siku hz hawaishi visababu
 
Kapicha please
 
Ila ile ya Wema na Uwoya kwenda kwa Zamaradi haikua kwa ajili ya Jokate ilikua kwa ajili ya Wolper... walimtukana sana kua mshamba na kejeli kama zote naikumbuka hiyo siku maana niliwashusha sana hadhi.

Penny kutoka na Mondi ilikua revenge ya Wema kutoka na bwana wa Penny, halafu huyu Penny nae ni blender ya jiji ila kimya kimya, lol.

Aunty hajawahi kutoka na Mondi
 
mwanaume kamili tena kijana damu inachemka ujilete hakuachi katu, lazima alenge penalty.

Hao wote uliza nani alitongozwa?

Ndo utapata jibu tatizo si jamaa bali hao ni vibao vya mbuzi
 
LEO KWA MARA YA KWANZA TEAM PUGI WANAKUBALIANA KUWA ZARI NDIE ALIEMUACHA DAI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wonders shall never end

This is JF bana,where the fools,stupid,clever,intelligence etc share and exchange experinces
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…