Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Mbona hizo ni kawaida tuu,hata huku mitaani kwetu wadada wanajigonga sana.Wewe tafuta shughuli ya kufanya ambayo itakuwezesha kuendesha maisha utaona slay kwini wa mtaa wako watavyokusumbua.
 
Wote ni ubatili mtupu. Inawezekana mpaka anazeeka akawa hivyo hivyo tu
 
Wanajilengesha
 
Unaweza ukaona mondi ni malaya wakati na wewe ukituliza akili ukakumbuka wa kwako basi unajaza yutong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…