Usinifanye nichekeFungweni tuiu...na ndege mmepewa....!!!
Em fanya unitafute haraka sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mnoooo!!sipendi kujichosha miyee...
Kwa kweli wafungwe, mpira kacheza kesy peke akeKweliiii!!!!fungweni tuu!!!alivyowaacha kina ajib,kichuyaa alitegemea nini?yondani kaweka nje...fungweni tuu!!
NakaziaMaisha ni kuchagua
DuhHuyo Kimnana nasikia ana mbunye kubwa kama domo lake
Na itakua wanajipeleka wenyew tuHapo tatizo sio huyo jamaa,_tatizo ni hao wanaokubali kuliwa wakati wakijua ni shemeji shemeji,,,
HahahahaAunty katoka na mondi,wolper kapita pia mpk Wema akasemaga wengine hata Xmas 3 mjini hawana ila wanajifanya kuiba mabwana za watu[emoji23][emoji23][emoji16]!!!!aunty katembelewa shostiii....acha wengine anonymous!!!!!
Off courses kimnana ana body sura japo sura yake ya kawaida..mi nakapenda sioni sababu ga kukachukia hata kidogo...!!maana hamissa kashamuacha dai..nashangaa hizi timu zamtukana etiii
Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaotangaza wenyewe kwamba wametoka na Mondi ,wanaona ufahari kuliwa na Mondi.Hana siri yule ni mtu maarufu lazima utajulikana tuu...kingine mtoto yule namzidi age kama 3 hivi!!
Ntamkataa kwa kua sipendi pressure za publicity tuu
Sawa
Mkuu unasema mond alishakula mpaka Huddah au nimeskia vibayaSawa
Kama huyo wa kwenye avatar ni wewe ambaye miguu imekaa kushoto tupu ,changanya na huo mwili wako kama boksi ataanzaje kukupenda ??,si itakuwa kihoja cha mwaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sawa