Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Nimeupata haswaa.....!!!nashukuru kwa hilooo!!!barikiwa sana!!!
Ndio hivyo ila siku nyingine uache kuchafua mastaa usio wajua mitandaoni,

Karekebishe kwanza hiyo miguu yako ya kushoto tupu na mabonde ,mabonde, katenganishe tumbo na kiuno kisha ndio uteme huo upupu wako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sibadilishi hata nywele najikubali nilivyo...!!!!
 
Reactions: Pep
Me mwenyewe sijisumbui sana tafuta nyama mbali na makoloni, shemeji au jamaa zangu!.
 
I.!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11]halafu nna amani balaa!!!Kukaa kimya jibu La mjinga
Sio jibu la mjinga, unafarijika kuona ninachangia uzi wako .

Leo lazima uote , umepata bahati ya kupata reply ya uzi wako kutoka kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…