Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Wa radio ganJemedari Saidi
Ni heri umetitenga na huu ujinga.Manara wa hovyo hovyo sana.
Wanaume hatunaga maneno ya hivyo hovyo hivi.
Mimi Yanga lakini simuungi mkono ujinga huu
Mungu alijua, akamfunga spidi gavana.Hajji angekuwa amekamilika bila kasoro yoyote angewanyanyasa sana wenzie.
Ni mjinga asie jijua
Hakika! Jamaa anamdomo mchafu sanaMungu alijua, akamfunga spidi gavana.
Siyo kwa miuno hii,hakuna mwanaume hapa Sunday Manara kapata hasara.Ni kweli
Kila kitu Mungu anafanya kwa hekma yake..!Hajji angekuwa amekamilika bila kasoro yoyote angewanyanyasa sana wenzie.
Ni mjinga asie jijua
Napendekeza uwanja uitwe Young African Stadium tuachane na Majina ya watuAnaandika Haji Manara.
Hii Nchi Uhuru wa kujieleza umekuwa wa hovyo sana na wengi wetu hatuumii vzuri, Imagine leo kwenye kituo kile kile ambacho kila uchwao ni negative za Yanga tu, na Mpuuzi yule yule ambae njaa imemshamiri hadi usoni, eti wanampangia hadi Rais juu ya Matumizi ya Ardhi ambayo ipo chini yake kwa mujibu wa sheria.
Yaani Mtu anaepata Zero hadi mitihani wa FIFA anajipa uhalali tena kwenye Radio kuhoji juu ya Mamlaka ya nchi, "What is the work of agents of FIFA ?"...
Kashindwa kujibu, leo atuelekeze Club Kama Yanga!! na Mabosi zake wapo wapo na wanaona sawa, imagine Rais anaombwa jambo ndani ya Ikulu na anatoa majibu positive, kisha kituo cha Radio kinakaa kumpangia Mh nini aamue.
Anaposema tukajenge Uwanja Kigamboni kisa tulipewa Ekari saba ( lile zezeta limesema hekari) hajui hata Standards za FIFA , Uwanja wa zaidi ya Washabiki 15,000 hadi 20,000,haupaswi kupungua ukubwa wa Ekari 12, ambazo sisi hatuna Kigamboni, ndio maana tukaomba ziada ya eneo Jangwani ili tujenge Uwanja wetu katikati ya Jiji.
Kigamboni tutaachia Sports Training yenye facilities zote na Hostel kubwa ya kisasa.
Mtu ambae miaka michache tu nyuma alikuwa kwao anauza Ming’oko na anaekaa nyumbani kwa Naa kwa Hifadhi, amuone Injinia Msomi Hersi @caamil_88 hana ajualo kisa anasikika karika Radio inayoishia Samvula Chole.
Kweli Yanga ielekezwe na Muuza dawa za Ngono wapi Uwanja wake ujengwe?
Halaf anajisifu eti alialikwa Ikulu Wakati Mwaliko ni wa Dstv, tufanye kaalikwa kweli yeye,bila Yanga ikulu Si angekuwa anaiona katika Picha tu.
Halaf kesho yake tu unaenda kuhoji Maamuzi ya Rais Redioni na mitandaoni ili tu upate attentions, bila kupost negative za Yanga na kuandika kuhusu Bugati,.comment moja dadadeki, hadi aibu.
Wanayanga endeleeni kumpuuza na chuki zake yy na Radio yake,,tusubiri ombi letu kwa Mh Rais na Inshaallah litakubaliwa, tujenge New Kaunda International Stadium,Yeye wakati huo atakuwa Chikandanda FM kwao,,kwa sababu hao Mabosi zake hawataendelea kuvumilia magomvi na Club kubwa kama Yanga.
Bata ambae hawezi kutengeneza hata sentensi moja ya English ampangie Rais wa Nchi au Rais wa Yanga!!! Kisa alikuwa Muuza Ming’oko kwao,,Stupid.View attachment 2648148
Nafikiri kutokana na changamoto zake za kimwili, alilelewa akiambiwa awe mtu anayejiamini na asikubali kunyanyaswa. Shida inakuja anashindwa kuheshimu tofauti za mawazo na kujiamini. Mimi ningependa mara moja atokee mtu amshambulie na yeye bila limit ikiwemo hali yake, najua jamii itareact kukemea lakini atajifunza.Hajji angekuwa amekamilika bila kasoro yoyote angewanyanyasa sana wenzie.
Ni mjinga asie jijua
Anabokolewaaa ndyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic hebu niambie ukweli, Ma..na..ra anakobolewa?
Hukosagi fununu wewe[emoji16]
Sasa huyo kazumari si katoa maoni yakee, yeye km kupinga angetoa hoja, sio kupovukwa hivyo.Sijawahi kumkubali Manara hata siku moja lakini huyo Kazumari kama anachotuhumiwa na Manara amefanya kweli unapata wapi ushujaa wa kujibu?
Ni unafki mtupu, wote walikwenda ikulu kwa sababu ya Yanga na Hakuna aliyeomba Udhuru zaidi ya waziri Pindi Chana peke yake aliyewakilishwa na MwanaFA.
Hatari hatariAnabokolewaaa ndyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nitilie mashaka na babalevo?Anabokolewaaa ndyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari hatari
Haa Inapatikana Mtwara Ipo Kama Mihogo Vileming,oko ndio nini?
Sasa baba levo si anataka kumzalia Domokayaa, sijui Domo hataki au anaogopa child support.Unataka nitilie mashaka na babalevo?
Maana wote ofisi yao moja...unasemaje
Nichukue rula na kalamu?Sasa baba levo si anataka kumzalia Domokayaa, sijui Domo hataki au anaogopa child support.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niachee bhanaa wee
EFMWa radio gan