Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

Kumbe generali sio mtu wa kuchukulia poa
 
Pia ndiye aliyekuwa raisi wakati wa mauaji ya wapemba Januari 27 walioandamana kupinga matokeo ya uchaguzi. Helikopta za polisi zilitumika. Kwa mara ya mwanzo Tanzania ilizalisha wakimbizi.
 
Naomba uandae na ya kikwete na magufulii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…