Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 17, 2024 #1 Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Jul 17, 2024 #2 Nape nammithilisha na ile mitoto mimbea. Mnapanga wote kuangalia movie ya x wazazi wakiondoka halafu ile wazazi wakirudi tu linaropoka kuwa mmeangalia movie ya x.
Nape nammithilisha na ile mitoto mimbea. Mnapanga wote kuangalia movie ya x wazazi wakiondoka halafu ile wazazi wakirudi tu linaropoka kuwa mmeangalia movie ya x.
B Bando la wiki JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 911 Reaction score 3,017 Jul 17, 2024 #3 Hiki chama viongozi wake ni wezi hadi wananuka uvundo
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 17, 2024 #4 Mzee wa bao la mkono.....
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Jul 17, 2024 #5 Kaka yake shetani said: Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. View attachment 3044852View attachment 3044873 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake Click to expand... Una point ila jina la kaka yake swetani,linaniboa sana !Nape kasema kweli,wizi mtupu,ndio maana wengine hatuhangaiki kupiga kura.
Kaka yake shetani said: Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. View attachment 3044852View attachment 3044873 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake Click to expand... Una point ila jina la kaka yake swetani,linaniboa sana !Nape kasema kweli,wizi mtupu,ndio maana wengine hatuhangaiki kupiga kura.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 17, 2024 #6 Kaka yake shetani said: Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. View attachment 3044852View attachment 3044873 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake Click to expand... Kwenda kupiga kura ni kupoteza muda
Kaka yake shetani said: Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. View attachment 3044852View attachment 3044873 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake Click to expand... Kwenda kupiga kura ni kupoteza muda
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jul 17, 2024 #7 Inasikitisha sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2024 #8 Muda utaongea... Cc: Mahondaw