Huyu ndo bondia wa kike bingwa wa Dunia kutokea Kenya akisifiwa kwa muonekano wake

Bondia wa kike Zarika, Bingwa wa uzito wa Light weight Afrika. View attachment 1055903
Wewe wacha kukosea huyu Mkenya heshima kijana. Naeza muita aje akupige ngumi kadhaa za kisogo. Huyu sio bingwa wa Afrika la hasha. Huyu ni bingwa wa dunia. Huyu ni WBC World super bantam weight champion. Na pia amedefend belt kwa mara ya tatu juzi Nairobi kwa hivyo amepewa belt milele kwa sababu ukidefend belt mara tatu unapewa uende nayo nyumbani milele na milele amina.
 
Siku zote watanzania kwa michezo mtabaki nyuma, haya endeleeni kujadiliana mionekano ya wanamichezo sisi tuendelee kushinda dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…