Huyu ndo Jennifer wa Kanumba analipwa millioni 2 kwa kila filamu anayocheza !

Huyu ndo Jennifer wa Kanumba analipwa millioni 2 kwa kila filamu anayocheza !

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Jennifer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hanifa Daud(Jennifer) ambaye ni mtoto alityetamba katika filamu za Uncle JJ na This Is It akiwa na marehemu Steven Kanumba anadaiwa kulipwa si chini ya sh.million 2 za kitanzania kwa kila filamu anayoigiza. Chanzo kimoja ambacho ni star wa filamu na pia producer maarufu Swahiliwood kilisema kuwa Jenifer anapendwa na ana mashabiki wengi licha ya kuwa mtoto hivyo analipwa kama baadhi ya mastaa wakubwa wanavyolipwa nchini kwa kila filamu.

" Jenifer ana fans wengi na anapendwa na wengi, dau lake si chini ya milioni 2 za kibongo kwa kila filamu, hachezi filamu nyingi kwa wakati mmoja so filamu anazoigiza hufanya vizuri, watu huwa hawamuoni sana kwenye filamu nyingi ndiyo sababu hupata hamu ya kuona filamu zake mpya" kilisema chanzo hicho kikichonga na Swahiliworldplanet

Kwasasa Jennifer anasoma kidato cha kwanza(form one) na baadhi ya filamu zake mpya zinatarajiwa kuingia sokoni mapema mwaka huu.

Jenifer akiwa na marehemu Kanumba
 
Huyu dogo fani anaiweza. Namtakia kila la heri
 
Milioni 2 bado ni ndogo sana kwa filamu ambayo itaendelea kuwa sokoni kwa miaka na miaka...

Wasambazaji wanapata faida sana wasanii ndo wanaokufa njaa kwa ujinga wao...
 
Kanumba hapo lazima angepitaa maana angejilipa fadhilaa anapenda kuzianziaa bado mbichiii
 
nyie watu ni wa ajabu sana mtu alishafariki bado mnzungumzia kwa mabaya.eti unauliza alishapita acha upuuzi bana.
 
nyie watu ni wa ajabu sana mtu alishafariki bado mnzungumzia kwa mabaya.eti unauliza alishapita acha upuuzi bana.

sikusudii la Kanumba, lakini mtu hukumbukwa kwa vitendo vyake viwe vyema au vibaya!
 
Analipwa nyngi sana,hongera zake,maana wengine wanalipwa elf 20 per scene
 
manyang'au wanakalia tyming...baada ya miaka mi3 tutazungumza kipya hapa!
 
Back
Top Bottom