Huyu ndo mwanasheria anayetegemewa na Serikali?

Ww mbona hujaona aibu Kwa kutojua mwanasheria mkuu wa nchi Yako?
Kuhusu mada siku zote hata kama ni smart kiasi gani lakini kutetea uongo ili uonekane ni ukweli ni kazi ngumu sana.
 
Mimi naona aibu kuona umeandika Katuga ni mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya 6
Mwanasheria mkuu bado anamtafuta Mange, ila basi nilitaka nae aitwe kama shahidi adodoswe na TAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…