Huyu ngassa alioa akiwa na miaka mingapi.........

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na akiwa na miaka mingapi...?
 
Kulingana na TFF jamaa alioa akiwa na miaka 16
 
umri wa ngassa na jerry tegete waulizeni watu wa kirumba mwanza kule walikokuwa wakijifunza mpira siku hizoooo. ila hawastahili kwa namna yoyote kuwapo kwenye timu ya JUlio. sisi tumekaa kimya tu kwa vile ni timu yetu. Wabongo.
 
muulize kanu ana miaka mingapi ndipo utaelewa...tafakari kabla hujajibu
 
Ngassa ana umri wa miaka 22, kwa mujibu wa passport yake ambayo hajawahi kubadilisha tangu apewe akiwa na miaka 17.
 
olympic
wanaruhusu wachezaji watatu over age
 
Kulingana na TFF jamaa alioa akiwa na miaka 16

Anatakiwa ashitakiwe amevunja sheria ya ndoa 1971 ibara 13(1) ambayo hairuhusu mwanaume kuoa akiwa below 18 years.
 
Anatakiwa ashitakiwe amevunja sheria ya ndoa 1971 ibara 13(1) ambayo hairuhusu mwanaume kuoa akiwa below 18 years.

Ha ha...kaaazi kweli kweli... lazima aswekwe lupango au sio?
 
Mwacheni jamani, jamaa wa Cameroun wakisikia wanaweza kata rufaa tumechezesha vijeba!! Lakn vizuri hawakumpanga siku ile...
 
hahahahahaha! Nilikuwa nmenuna, post yko imenifanya nicheke mpaka basi...
Anatakiwa ashitakiwe amevunja sheria ya ndoa 1971 ibara 13(1) ambayo hairuhusu mwanaume kuoa akiwa below 18 years.
 
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na akiwa na miaka mingapi...?

Jaribuni kuheshimu umri wa kazi wa wenzenu, kwani Martins we unamuona ana miaka mingapi kiuhalisia??
Heshima mbele wakuu, acheni kufukurunyua, au hamtaki na sie tutoke kisoka?
 
wachezaji wa TZ hawaruhusiwi kutaja umri wa ukweli,kwa sababu
1.si warefu
2.hawana miili mikubwa
3.hawana nguvu sababu y lishe
hivyo wakitaja umri sahihi,vitachezeshwa visharo baro tu,mbio kidogo ulimi nje na zitapigwa bao kama mvua za masika.
 
Tatizo watanzania hatuna kumbukumbu za hawa wachezaji wetu...Kumbukeni yaliyomkuta huyu Nurdin Bakari mpaka timu ikatolewa na ya under 21 enzi za uongozi wa FAT ya akina Wambura
 
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na akiwa na miaka mingapi...?

mpwa huyu bana kwanza akuoa kaozeshwa huo mzigo yaani huyo nenda nae ..ndio maana unaona upumbavu unaoendelea kwenye ndoa yake bila kuheshimu..kwa miaka ni kijeba na kwa kukuhakishia hilo nilimjulisha JULIO Mapema kama mnataka kuondolewa kwenye mashindano mchzeshe Ngasa na sikumficha tuko radhi kuwasaidia FIFA this time..uwezi kuwa na viongoz wanaongea ujinga unaojulikana nilishangaa kusikia tenga anasema akuna tatizo tumefanya uchambuzi yakinifu kuhusu ngasa nkasema he amuingize aone
 
Kulingana na TFF jamaa alioa akiwa na miaka 16
ulikuwepo?
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na akiwa na miaka mingapi...?
hayakuhusu

wachezaji wa TZ hawaruhusiwi kutaja umri wa ukweli,kwa sababu
1.si warefu
2.hawana miili mikubwa
3.hawana nguvu sababu y lishe
hivyo wakitaja umri sahihi,vitachezeshwa visharo baro tu,mbio kidogo ulimi nje na zitapigwa bao kama mvua za masika.

hii ni point, kinachomata ni kuwadocument zake za nyuma zinaonyesha kuwa alishakuwa na passport baadaye akatengeneza nyingine ya kukata miaka?
 
p didy una documents za kutibitisha haya unnayoyasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…