Huyu ni Dr.Slaa au Slaa mwingine??

Ndio mkuu,halafu aliyechapa hicho kitabu ni padri,Privatus Karugendo ambaye alisoma na Dr.slaa ndo maana nkawa nahisi labda ni mtu mmoja
Kama uliweza kufanya research yote hiyo, kilikushinda nini kumalizia?
 
Unaona sasa? Kumbe ulikuwa una uwezo wa kuperuzi kupata jibu. Kulikuwa hakuna sababu ya kuanzisha thread kama ungeperuzi kwa lengo tu la kujua.

Maadam sasa umeshajua haya uliza sasa ulichotaka kuuliza.
kajamaa kanahangaika tu,
 
Ndio mkuu,halafu aliyechapa hicho kitabu ni padri,Privatus Karugendo ambaye alisoma na Dr.slaa ndo maana nkawa nahisi labda ni mtu mmoja

Mkuu Deo Corleone , Ni kweli Dr. Slaa alishawahi kuandika kitabu kuhusiana na vijana, na nakumbuka hata yeye Binafsi alishazungumzia hilo EATV kama miaka 3 hivi iliyopita kwenye kipindi cha 5 connect!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…