Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 16, 2024 #1 Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa". Umegundua nini kwenye hii picha?
Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa". Umegundua nini kwenye hii picha?
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 3,553 Reaction score 7,334 Jan 16, 2024 #2 Ana miaka 2 kashindwa hata kufikisha 8 views. Cha ajabu anawafundisha watu kufikisha 1 million views in just 3 days!
Ana miaka 2 kashindwa hata kufikisha 8 views. Cha ajabu anawafundisha watu kufikisha 1 million views in just 3 days!