Huyu ni nani.maana nimeona sehemu anajadiliwa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Namzungumzia huyo mwenye rangi nyeusi

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Uyu dogo hata kama anapatia pesa kuptia kipaj chake cha kucheza kama mdada lakin ki saikolojia ipo cku ata i acept hyo hal na atajkuta ametoa sit allowance kwa wana mana kazdsha poz ad nguo apo alkua kaenda wasaf kwenye intervie
Mkuu na wewe andika kwa ukamilifu hapa hatupo Facebook.
 
Uyu dogo hata kama anapatia pesa kuptia kipaj chake cha kucheza kama mdada lakin ki saikolojia ipo cku ata i acept hyo hal na atajkuta ametoa sit allowance kwa wana mana kazdsha poz ad nguo apo alkua kaenda wasaf kwenye intervie
Kuna sehemu nimeona wanasema anatoka na kale kabinti kalichokuwa kanaigiza na Kanumba?
 
Huyo ni DULVAN Ni mwigizaji anae ingiza kama binti.
Kiukweli anapiga pesa kama unavyo jua Bongo maswala ya Kijinga ndio hufanya Watu watoboe
Ujingaujinga unakuwaga ukweli baadae πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚

Ngoja wakulungwa wamuelewe atashangaa
 
kasingiziwa mimba da acha aruke kimanga na dem kalazimisha kabisa kuwa dulvan alimla na anamimba ya miezi miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…