Huyu ni nani?

Kuna huyu wa kulia mwenye kikuku miguu yote anamtamani Kaka huyu!
 
huyo dada ana mguu wa nguvu...huo sasa ndio usafiri...:bored::tape:
 
tazama kwa makini hiyo picha THEN tazama BODY language yake huyo dada kulinganisha na waliopo kwenye picha wengine
 
Acheni majadiliano yasiyo na tija..................
 
na huyo dada wa haponyuma naomba kutajiwa jina lake..
 
tazama kwa makini hiyo picha THEN tazama BODY language yake huyo dada kulinganisha na waliopo kwenye picha wengine




Mkuu mimi nimetazama na lugha inaniambia kuwa hapo mtu ameshakorea kwa Mkwer.e aka mkware na kuna uwezekano mkubwa kuwa amesharowana........
 
kwa majina siwafahamu but ni wanachama wa chama cha wanasheria wa EAC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…