Huyu ni nani?

Merei Bhalaboo.....a.k.a Papaaaa Abramovich! Hee...hee...heee Tanzania shamba la bibi
 
mtu wake wa karibu sana Bwana Davis Mosha ndo anajiandaa kuukwaa Umakamu Mwenyekiti klabu ya Yanga.
 
Huyu jamaa alianza na kituo kimoja cha matufa Msamvu miaka ya 80 na kazi yake kubwa ilikua kuwarubuni madereva wa magari ya mafuta yanayopita pale kumuuzia mafuta robo tatu ya mzigo halafu wanaongeza maji na kuliangusha gari kupoteza ushahidi(gari la mjomba wangu pia lilifanyiwa hivo pale 1995),hii ilimuinua sana mpaka wenye magari wakamstukia na kuweka ulinzi mkali mpaka magari yavuke Moro.Hili la TIOT,vituo vingi,na magari vilikuja baadae.Hawana visima uarabuni wala meli hizo ni stori za vijiweni.Ni kweli anadaiwa kodi zaidi ya bilioni 10 kwa ku-underdeclare pale Tanga port na ni kweli pia alihusishwa na wizi wa mabiliono benki kwakutumia cheki ya kugushi na aliwekwa ndani na kesi kuisha kimazingira.
 
kama watawala wenu wangekuwa na vyombo vya usalama na vyenye kusimamia sheria taarifa tulizowasaidia kukusanya hapa zingetoka kuanzisha uchunguzi huru na mtu kutiwa pingu.
 
Mwanakijiji
usitaraji kwamba serikali inadeal na wahalifu wa kweli. wao wanatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ili waonekane wanadeal na uhalifu....
 
kama watawala wenu wangekuwa na vyombo vya usalama na vyenye kusimamia sheria taarifa tulizowasaidia kukusanya hapa zingetoka kuanzisha uchunguzi huru na mtu kutiwa pingu.

Mbona alishatiwa pingu kwenye ile kesi ya cheki ya kufogi na haijasaidia kitu baada ya kesi kupotea kimazingira? TRA walifunga accounts zake na kuziachia tena kimiujiza?Nchi hii tunatukuza wezi na watu wanaoishi kitapeli hata ukisikiliza nyimbo zetu wanasifiwa sana.
 
DD, watu hawataki kuamini hilo ndiyo maana hata hapa jukwaani akina Malaria Sugu wanaofagilia viongozi wanazidi kuongezeka kila leo pamoja na kwamba hawana takwimu zozote za kuthibitisha kazi nzuri za hao watendaji.
 
Ukitaka mambo yako yaende vizuri basi wewe kuwa mwana CCM, "MH sumayi" Hapa tutasema mpaka kiama lakini jibu ndio hilo.
 
nasikia vijana wa bongo flava wamehongwa sana magari na pedeshee huyu ili awale witi wao.

akiwemo aliyeimba kidali poo ktk nyimbo zake utakuta anamtaja akisema barabarabu barabarabu tehe tehe
 
kama watawala wenu wangekuwa na vyombo vya usalama na vyenye kusimamia sheria taarifa tulizowasaidia kukusanya hapa zingetoka kuanzisha uchunguzi huru na mtu kutiwa pingu.

Mzee MMKjj sema watawala wetu sio watawala wenu.........
 
kama watawala wenu wangekuwa na vyombo vya usalama na vyenye kusimamia sheria taarifa tulizowasaidia kukusanya hapa zingetoka kuanzisha uchunguzi huru na mtu kutiwa pingu.

Tatizo wengi wao na wenyedhamana hizo mikono yao inamawaa. Si unajua ile kanuni inayosema ' who seeks equity must come with clean hands'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…