Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
tiot owner na biashara magendo ya mafuta mwenda mashariki drc....maskani mg,hapa dar office(rage alishawahi kuwa mhasibu wake).....moro united owner kabla hajaiuza....
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:
Merei Balhaboo
Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:
Merei Balhaboo
Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Huyu ni mfanyabiashara wa mafuta, owner wa TIOT.Hii kampuni ilikuwa mahususi kwa kuuza mafuta Zambia na Congo.Inaaminika mmoja wa shareholders ni Gen. Mboma ingawa siwezi kuthibitisha hilo.Ninachojua walikuwa wanapitishia mafuta bandari ya Tanga na walituhumiwa kutolipia ushuru baadae kampuni hii ikifa natural death.
Huyu Merei noma, siyo kwa mademu tu bali hata wasanii wa kiume wanaotaka maisha mazuri bila juhudi yeyote kama akina Kitenge wa ITV au Ben Kinyaia mwenzie na Maimartha yeye haimsumbui kuwanunulia hizi chaser au Mark II kwani malipo yake ni kuwaingilia kinyume na maumbile
Sasa hizi mbona ni kama dharau?. Unamaanisha Mbongo hawezi miliki meli ya mafuta?. Mbona kuna mbongo namfahamu yuko hapa hapa bongo, anamiliki private jet, ana meli, anamiliki majumba London, New York na Paris yet ni low profile, itakuwa meli ya mafuta?.
Kati ya makampuni ya mafuta takriban 50 yaliyopo nchini, makampuni yanaypleta mzigo meli nzima hayafiki 10, Tiot ikiwemo.
Nimekuwa its a family bussiness sio yeye kama yeye.
Pia ni mmiliki wa chain ya Supper Markets kwenye vituo vyote vya TIOT.
He is a powerful man with connections among the axis of powers za nchi hii, Ewura walipofunga petrol station yake pale Moro on Friday moja, the following Monday lawyers wake wakafile suit under the certificate of urgency, by Wed, Petrol Station ikafunguliwa kwa amri ya mahakama, issue iliyoleta malumbano makubwa kati ya Sitta na CJ.
Inasemekana familia yao inamiliki visima vya mafuta Arabuni, meli za kuyasafirisha mafuta hayo ni zao, clearing agents ni kampuni yao. Surface transport ni malori yao, na huko DRC, ana miliki petrol stations kadhaa.
The man is filthy rich, ila pia ana roho nzuri kama walivyo matajiri wa Moro, pesa nje nje, ikitokea misiba, usafiri wa kwenda mazikoni bure na ubani wa maana.
Ni mpwa wa Bakrhesa