Huyu ni mfanyabiashara wa mafuta, owner wa TIOT.Hii kampuni ilikuwa mahususi kwa kuuza mafuta Zambia na Congo.Inaaminika mmoja wa shareholders ni Gen. Mboma ingawa siwezi kuthibitisha hilo.Ninachojua walikuwa wanapitishia mafuta bandari ya Tanga na walituhumiwa kutolipia ushuru baadae kampuni hii ikifa natural death.
We need a bad guy up there to wheep some a$$es
Acheni kututisha na konspirasi theorizi zenu. Tanzania ni nchi ya amani na utulivu. Inafuata utawala wa kisheria. Ina utawala bora. Pia ina uongozi uliochaguliwa katika uchaguzi uliokuwa huru na wa haki. Vyombo vya dola vinafanya kazi yake. Na watuhumiwa wote wanapelekwa mahakamani. Sheria inafuata mkondo wake.
Wow,am speechless!.Campareo.... you must be talking using your ass**** not your mouth!!!!
Ndio huyo, pia anahusishwa na kuwatembelea wanaume (tena maarufu hapa mjini) kinyume na maumbile... kasaidia "chama chetu" pia
Inategemea uko wapi!hii ya kwako mbona ina hatari MTM ?
pamoja na masifa kedekede
hii sasa sifa chafu
Inategemea uko wapi!
ukiwa zanzibar KAWAIDA TU!....
Na Happiness Katabazi
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Merey Ally Saleh, maarufu kwa jina la Merey Balhabou na mwenzake, Abdallah Said Abdallah, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa dola milioni 1.08 (zaidi ya sh bilioni moja) , wamefutiwa mashitaka.
Washitakiwa hao wamefutiwa mashitaka baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kuwasilisha hati ya kuwafutia mashitaka washitakiwa hao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Merey na mwenzake, wameachiwa huru chini ya kifungu 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, ambacho kinampa mamlaka DPP kuwaondolea mashitaka watuhumiwa.
Kuachiliwa kwa washitakiwa hao kunafanya washitakiwa katika kesi hiyo kwa njia ya mtandao wa kompyuta, mali ya Benki ya Barclays kubaki tisa.
Washitakiwa waliobaki katika kesi hiyo ni Winford Mwangonda, Shubira Mutungi, Naima Saria, Upendo Mushi, Magreth Longway, Emmanuel Mukoni na Ramadhani Khamis, ambao ni wafanyakazi wa benki hiyo na mfanyabiashara, Justice Rugaibura.
Washitakiwa hao Oktoba 29-30 mwaka jana, walikula njama katika eneo lisilofahamika jijini Dar es Salaam, walifanya udanganyifu na kuiibia benki hiyo fedha hizo.
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumanne, Novemba 3,2009
Mkjj Balozi wetu mpya burundi si yule Mama aliyekuwa katibu mkuu pale Wizara ya Ardhi-mstaafu aliyepata sifa angalau kwa kuanzisha mradi wa kupima viwanja 20,000?. Au unazungumzia mjeshi aliyeondoka!... Merei !
Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo