Ni mtoto wa mzee mmoja anaeamini katika ushirikina sana nchini. Baba ya huyu binti ni mwenyeji wa Tanga.... Baba wa mtoto huyu amewaandikia makatibu wa chama fulani kuwahimiza madiwani na wabunge walioshindwa katika viti vya ubunge na udiwani kufungua kesi mahakani,,,, Baba wa mtoto huyu ana mtoto ambae ajishinda Ubunge jimbo fulani nchini... Baba wa mtoto huyu aliwahi kuwa mkuu wa mkoa na kukomalia suala la tabia mbovu za ukahaba...... Nadhani umemjua sasa.