Huyu ni power nani?

Hahahah!!
Hilo "dubwashana" halijanyanyuliwa na huyo jamaa hapo chini mwenye kutoa mashuzi ya bureee.
Sehemu ya mbele na ya nyuma ambayo hii picha imeshindwa kutuonesha kuna mihimili ambayo ni mithili ya winchi ndio imelinyanyua hilo "dubwashana"

 
hiyo mbona ni nyepesi sana kama godoro.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…