Huyu ni power nani?

Backhoe ina uzito wa karibia tani Saba au Nane inategemea na Model

Ni sawasawa na uzito wa Tembo wa Kiafrika swali linakuja je kuna Mtu anaeweza kuuhimili huo Uzito?
 
Ile miguu ya silver ya hilo dubwana iko wapi mbona haionekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…