Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12]King fish
Starfish... najua ulijua wale wangu...Tunaomba muongozo Bantu Lady
Wewe si vyote hivyo unapiga!Starfish... najua ulijua wale wangu...
My favorite seafood ni Prawns...Wewe si vyote hivyo unapiga!
Kwanini haliwi, ana nini? Naomba kujuaStar fish. Ila hawaliwi hao usije ukajichanganya
Ila hata hiyo kitu hapo juu unaishi nayo tu fresh!My favorite seafood ni Prawns...
Huyu ni sehemu chache analiwa I think sehemu ya ndani, kwenye nyama za miguu...Ila hata hiyo kitu hapo juu unaishi nayo tu fresh!
Sasa usumbufu wote huu wa Nini?Ni kama kuchezea shilingi chooni!Huyu ni sehemu chache analiwa I think sehemu ya ndani, kwenye nyama za miguu...
Zilizobaki zina sumu.
Thailand, China na nchi nyingine za Asia wanamla kwa wingi. Mimi hapana sibet na sumu 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa usumbufu wote huu wa Nini?Ni kama kuchezea shilingi chooni!
😃😃😃😃Thailand, China na nchi nyingine za Asia wanamla kwa wingi. Mimi hapana sibet na sumu 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanini?Star fish. Ila hawaliwi hao usije ukajichanganya
Ben huyu si Yule wa aftatu