HUYU NI SHEIKH KWELI?

HUYU NI SHEIKH KWELI?

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,844
Huwa naona video za huyu jamaa mara kadhaa akihutubia(sina hakika kama ni msikitini au wapi) lakini maudhui yake huwa ni kuhamasisha ngono tu kupitia dini ya kiislamu.
Nataka kujua kama jamaa ni sheikh au ni muhamasishaji tu wa yale mambo yetu.

NB: ila km kweli mbinguni kupo hivyo..... dah, tuitafute pepo[emoji120]
 

Attachments

cbc0b9fc49b18f2bd83cc4871849e41c.jpg


Labda itokee tu shekh...
 
Hivi kabla sijasikiliza hiyo audio ameegemea katika tendo la ndoa au ngono za kisela?
 
Kul ya ayua li kafiroon

Nyinyi mnadini yenu na yeye anadini yake

Nyinyi Mungu wenu mnaemuamini naye ana Mungu wake anayemuamini

Acheni kuwazungumzia vibaya viongozi wetu wa dini
 
Back
Top Bottom