Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
tumeliwa, tulitaraji awe ready made.Price tag ya £72 million? Wana Arsenal tumeliwa au tumpe muda kijana wetu?View attachment 1220960
Hahaha muda wa kula pensheni huoMpeni muda atatulia akifika 30 yrs[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona unaandika kwa kupaniki sana?Acheni ujinga kwa MTU anayeanza ligi,msimu wa kwanza anakalisha mwenyeji ,alafu unataka ujadili nini? Ni suala LA muda tuView attachment 1221299View attachment 1221300View attachment 1221301
Uko sahihi Pauni 72 Milioni ni kiasi kikubwa sana cha pesa alitakiwa awashe moto moja kwa moja.tumeliwa, tulitaraji awe ready made.
Sauti haisikiki vizuri mkuuNicolas Pepe ni David Molinga aliyechangamka!