Huyu Rafiki Yuko Wapi

Mbona bibi namuona mitaa ya MMU
Umesema yuko mmu na wajukuu, mimi namtaka huku, ningekuwa mjukuu wake ningekutana naye mmu nisingemtafuta huku
 
Yupo humu ameanzisha ligi na mimi....mwislamu wa ajabu sana huyu hana tofauti na shehena al hadi wa dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamani msimseme vile, atakwazika, we need her back
 
Alikuwa ameshika bango la kuunga mkono majuzi hapa kwenye Uzi wa Chifu Hangaya kutaka Bandari yetu kuu ya Dar es salaam kutafutiwa mbia!
Labda yupo na big show huko mji mtakatifu wa Macca!
 
Alikuwa ameshika bango la kuunga mkono majuzi hapa kwenye Uzi wa Chifu Hangaya kutaka Bandari yetu kuu ya Dar es salaam kutafutiea mbia!
Labda yupo na big show huko mji mtakatifu wa Macca!
Sikuona post zake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…