Huyu rais sasa kazidi, khaaaa.

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Jaman huyu rais sasa kazidi, ni rais mgabe wa zimbabwe hasa baada ya kutoa ushauri mzito kwa simba kama mwendelezo wa misemo na matamko yake
 


Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo
 
Pamoja na mapungufu yake ila huwa ninamuelewa sana Mgabe
 
Mh mpira umewashinda mnaanza taarabu. Mikia usawa huu mtanyooka tu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…