Huyu Ronaldo na Madrid yao si wa sport

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Real Madrid imeingia nusu fainali ya klabu bingwa ulaya mara 7 mfululizo tangu 2011

Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 katika kombe la klabu bingwa ulaya

Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 103 katika mashindano yote yanayosimamiwa na chama cha soka ulaya (UEFA)

King CR7
 
Msimu huu Madrid wanaweka record nyingine ya kutwaa kombe la uefa mfululizo ktk misimu miwili inayofuatana.kitu ambacho hakijawahi tokea
 
Mtoa mada ili ueleweke vzur ungeweka Takwimu PEDADO kacheza jumla ya mechi ngapi UEFA na ana goli ngapi na MESSI kacheza jumla ya mechi ngapi UEFA na ana goli ngapi

ILA SIO HIZI POROJO
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…