Huyu Rosa-Ree nashindwa kuelewa mapozi ya picha zake

Huyu Rosa-Ree nashindwa kuelewa mapozi ya picha zake

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Hv huu ndio usanii au mi ndo nimepitwa na wakati?
Huyu dada angu Manka nashindwa elewa mapozi ya picha zakee.
Dah!!!

Screenshot_2018-06-04-22-15-12-207_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2018-05-31-22-49-23-338_com.instagram.android.jpg
 
Pambana na hali yako!
Inamaana umemuona huyo bidada tu?
uache uzuzu!
 
One of my Tz female emcees ambaye huwa sichoki kuisikiliza rap yake. Napenda flow yake kwenye ku-rap.

Kuhusu huu muonekano wake, nadhani she's tryin to come out unique. Ndo PERSONALITY aliyochagua kuwa nayo kwenye sanaa yake. Good thing ni kwamba we can not say amechange, la hasha! Ni personality aliyoanza nayo from the start.

-Kaveli-
 
Rosa-ree ni sawa na wanaume wote wa Dar uwachanganye kwa pamoja![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Rebellious rage, ranting from a cage
Youthful sage, turning the page
Signs of the age, honor badge
No hedge on the edge, sista on a ledge...
 
Back
Top Bottom