econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum.
Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali basi kesi imeisha.
Ameulizwa ana shida gani na makampuni aliyoyaorodheshwa anadai Hana shida yoyote. Sasa aliorodhesha ya nini?. Kabaki kujiumauma. Anaboa kwakweli.