Kufa Makanga kufa dereva. Wakae wamalize. Akiondoka Naibu hao vichaa wataimba huo wimbo baye Ruto akwende. πππHuyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum. Yani anaulizwa maswali na wakili ...
Kitachoamua Gachagua kubaki/kuondoka ni pesa. Sio hakiHahahaha jamaa kakandwa kakandika kweli kweli na anaonekana anaongea kwa hisia tuu!
Mwanzako kaugua ghafla unafikiri hayo mashtaka ni mchezo.Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum.
Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali basi kesi imeisha.
Ameulizwa ana shida gani na makampuni aliyoyaorodheshwa anadai Hana shida yoyote. Sasa aliorodhesha ya nini?. Kabaki kujiumauma. Anaboa kwakweli.