Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Oooh,Mungu amrehemu,kumbe alishatangulia mbele za haki.innah lillah wainnah illah rajioun, sheikh nyundo alishaiaga dunia.
Dah, Mungu amrehemuAmetangulia mbele za haki
Allah amjalie pepoinnah lillah wainnah illah rajioun, sheikh nyundo alishaiaga duniaAllah
M/mungu amrehemuMbona alisha fariki tangu 2020?
Chema hakidumu, Mafedhuli hadi leo wapo wanaendelea kuwaibia. Hahahaha..... Kwani wezetu mutaamka lini?Ivi huyu sheikh alipoteleaga wapi,nimesikiliza clip yake akituhusia sisi matajiri,
Tafadhali wakristo huu uzi sio wa matusi nimeuliza tu kwa anaejua
ExctMadini tupu. Inna Lilah.