Huyu Shilole Kiuno kwanini wamemwachia huru?

Ndio maana tumeamua kufuta ajira za walimu ..
 
huyo hapendagi maendeleo ya mtu yeyote,sijui ana nini....?
Huyu jamaa anawivu kweli kweli yani tena wakimaskini juz hapa wasafi wametoa nyimbo yao mpya yani,kuponda tu akati kila mitaa kwa sasa utaisikia hiyo nyimbo ya kokoro
 
Huyu jamaa anawivu kweli kweli yani tena wakimaskini juz hapa wasafi wametoa nyimbo yao mpya yani,kuponda tu akati kila mitaa kwa sasa utaisikia hiyo nyimbo ya kokoro
Sijaponda ila nimeweka wazi jinsi video ya Kokoro walivyo copy na kupaste kutoka kwenye video ya Love me by Lil Wayne .
Hampendi kusikia ukweli ehh [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yule Sallam u-staa umemjibia kwa bahati mbaya tena uzeeni basi anaweweseka na kujiona kijana wa miaka 20 kumbe anakimbilia kuwa na Wajukuu sasa.

Yeye ndio aliwaambia mashabiki wao waende kituoni kufungua mashtaka sasa sijui imekuaje tena naona dogo katoa na mashtaka ajafunguliwa na huyu Sallam alisema kuwa wamemjua msanii mkubwa aliemtuma na akatoa ahadi nae lazima adakwe ila mpaka leo kimya ajakamatwa yoyote na mashtaka ayajafunguliwa.

Hawa jamaa wa Madale sijui lini watauzoea umaarufu na kuacha kukurupuka hivi hawajifunzi kwa Babu Tale kila siku wanamuimba vibaya kwenye nyimbo ila hata siku hajawahi japo kuwajibu instagram na yule Saidi Fella wakina Sugu walimtukana kweli kweli ila jamaa hakuwahi hata kukooa kuwajibu.

Ila jiulize sasa ule wimbo wa Babu Talent wa Nikki Mbishi kama angeimbiwa Yeye Sallam si angeenda Kushtaki Interpol waje kumkamata Nikki Mbishi
 
mwacheni dogo afurahie umri wake...!!

haya mambo ya kuzibana midomo ni upuuzi tu,

akitukana ondoka, kama unajiweza tukana na wewe!!!

mnalia lia hovyo kweli!!

let the boy be.
 
Ukiona mtu hataki watukanaji wakamatwe jua na yeye ni mmoja ya watukanaji

Kwa mwenye akili timamu hawezi kutaka instagram au sehemu yoyote iwe uwanja huru wa kutukanana labda awe 1/4
 
Aliyemkamata ni shilole wakishirikiana na wastara sema baada ya kukamatwa ndo na kina tale na sallam wakaitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…