Huyu sio Anna Makinda

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936


ANAANDIKA DADA CHEMI CHE MPONDA AKIWA MAREKANI...

"Hawa ni wazazi wangu wakiwa na marehemu Bibi Titi Mohamed, takriban mwaka 1965.

Bibi Titi alikuwa miongoni mwa wanawake mashuhuri katika Harakati za Uhuru wa Tanganyika.

"Kuna picha inayozunguka mitandaoni ambayo i
baba yangu amekatwa na kudaiwa kuwa ni picha ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda!

"Ukweli ni kwamba hao kutoka kushoto kwenda kulia ni mama yangu Bi. Rita Che-Mponda, katikati ni Bibi Titi Mohamed, na kushoto ni baba yangu Dkt. Aleck Che-Mponda, ambaye wakati huo alikuwa mtangazaji wa Voice of America."

Case closed!

Kwa hisani ya ©makinikiayahabari
 
Makinda hawezi kuwa pini kiasi hicho,nakataa.
 
Umetoa kwenye kurasa za issa michuzi au wewe ndiyo michuzi?
 
Mbona sasa haujaweka hiyo picha iliyokatwa ili tuweze kuamini hicho unachokanusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…