Huyu sio gaidi natamani litambulike hilo

Tuambie UGAIDI. Wake ni upi
aliyemkamata na kusema gaidi ndiyo atatuambia ugaidi wake ni nini lakini for the time being juwa kuwa jamaa ni gaidi ila wakishindwa kuonyesha ugaidi wake ndiyo ytumtoe kwenye list ya ugaidi unaharaka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…