Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

Van gaal

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
265
Reaction score
107
hapa alikuwa anajibu 'haters' via instagram!...

Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:

Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you have Problem with that ?! come on now .... i love her and
yes she is my girl and ndio mie kibaraka wake.. mitusi na kumtusi my baby unapoteza muda coz yes i love my baby hata kama unahisi sio type yangu but humjui .. ushaenda bank kuangalia salio lake? uyo mbunge si umfuate wewe kama unamtaka? my life my rulz nachagua nani niwe nae nani simtaki.. uyo unamuona hanifai mwenzio ndio sili silali sababu yake.... yaan dats my future husband... afu wema ndio my girl sasa na nitamtetea daily nikiona mnamkosea....afu ka hujui ushajijua wewe ulienitukana kurasa na kuingilia hadi familia yangu uso na adabu unaetafuta followers kinguvu... i am team wemasepetu for life and speaking of my baby well ..... nitakua nae ndio wangu tena Mpaka kifo kitakapotutenganisha.. . asa kip on hating kwenye level uliopitiliza uone kama nitakufa for that .. grow the f up and respect my pops next time.. Diva this Diva dat hamchoki?! i live my life to the fullest .. stress for who for what?! mniache.
 
Last edited by a moderator:
huku ni kutafuta 'kiki' kwa nguvu. Sikapendi haka kadada basi tu hakajui.
 
Me sijaona tatizo hapo zaidi ya kuona ana eleza yaliyo moyoni mwake na jinsi anavyo mkubali Wema.

Sijaona sababu ya kusema ana tafuta kick kwa kusema ana mkubali Wema Sepetu.

Sidhani kama amefanya kosa lolote.

Kasema ya moyoni mwake.
 
Wanapenda high life mshahara wenyewe majangaaaa,utafukuzwa tu!
 
Back
Top Bottom