Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

Me sijaona tatizo hapo zaidi ya kuona ana eleza yaliyo moyoni mwake na jinsi anavyo mkubali Wema.

Sijaona sababu ya kusema ana tafuta kick kwa kusema ana mkubali Wema Sepetu.

Sidhani kama amefanya kosa lolote.

Kasema ya moyoni mwake.

Anatafuta kick kwa sababu wema sepetu kupitia msemaji wake Martin Kadinda alisema hawakitambui kitu kinaitwa Team wema wala hawana team yoyote kwenye mitandao ya kijamii


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Huyo bidada anasema wamuache kuna watu kwani wanamshikashika?
 
Anatafuta kick kwa sababu wema sepetu kupitia msemaji wake Martin Kadinda alisema hawakitambui kitu kinaitwa Team wema wala hawana team yoyote kwenye mitandao ya kijamii


In this world nothing is certain than Tax and Death.

Hivi unajua kama hiyo statement ya Kadinda ni sawa na kusema hatambui kama kuna Mashabiki wa Wema? Kitu ambacho si kweli na hata wema sidhani kama ana kubaliana na hilo.

Turudi kwenye Mada, kuna tatizo gani kwenye maneno ya Diva? Ni kosa kusema ana mpenda na kumsupport wema? kusema hivyo ndio kutafuta kick?

Nimeshangazwa na mtoa mada kusema ana kerwa sijui ame kerwa na nini?
 
Diva si mtoto wa ndani ya ndoa kwa mzee malinz bali history inaonyesha kuwa mama yake alikuwa mfanyakaz wa ndani kwa malinz ndio mkuu akachepuka bahat mbaya ikazaliwa hii adhabu nje ya ndoa kama alivyokuwa Zamarad Mketema naye mama yake alikuwa house girl wa Marehem Mketema mama wa Zamarad ni Mhutu kabla Diva hajawa mtangazaji clouds alikuwa mmoja wa wanachama wa kund la Tip top alijiunga pamoja na dada Keisha
 

Duuuh we ni noma! Toa udhibitisho
 
Kuhus diva na Zamarad najaribu ku upload pictures zao kuanzia 1993 zenye caption swala la kadinda na wema wanachangia bwana hilo halina ubishi sijui nikupatie uthibitisho wa aina gani isitoshe mtoto wa kiume huwez kujibatiza jina la kike kwenye Instagram martin ana account fake anajiita mwatumu38
 

Hahahaaaa...nimependa huu udaku aisee.. ngoja nikae mkao wa kula Dinazarde Kim nana Gossipcopwarumi snipa lusungo Heaven on Earth Evelyn Salt na wengine njooni muone ya mjini
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
babamkubwa hyo acc sio mwatumu37?? Nimeona ni mpya Ina post tano...duu watu wana mambo kweli... hivi usipojipangantakupanga ni nani?
 
Last edited by a moderator:

Hivi mketema alikuwa ni nani maana hiki kidada nilisikia mishauzi kinaongelea kuhusu nikatamani kujua baba yake alikua nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…