Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!


Atakua kalishwa sumu ya kummaliza polepole na kitengo
 
Last edited by a moderator:
Na hilo fungu ndilo litafanya tumjue mangi mbowe ni mtu gani. Subiri muda ufike.
 

mkumbuke hata jk mlisema mgonjwa
 
Last edited by a moderator:
Katika miaka upinzani wamechemka ni mwaka Huu . kwa afya ya el nawsiwasi anaweza kujitoa
 
Kwanza uliza umri je umri wa lowasa ww unaweza kuufikia je hayo maji ya Lita ngapiy mpka mtu ashindwe kubeba chupa ya MAJI ata ww uwezi kunywa maji ya Lita moja na nusu bila ya kupumzika
 
Hizo tumeziskia muda mrefu sana, wanannchi wamechuja na kuona hakuna hoja katika hilo zaidi ya kuwa ni ujing.a na upu.mbavu..... Wananchi washaamua kwe nda na Lowassa... Hayo mengine Mungu ndio anajua
 
maana hizi nguvu za umma hazikushawishiwa kujiandikisha...uko mikoani
we, waambie chama chako wasiondoe majina uone kazi. watu tumelala vituoni halafu unasema hatujajiandikisha? ndoroobo wewe
 
Anaeumwa leo aweza kuwa mzima kesho na alie mzima leo aweza kuwa mgonjwa kesho si vyema kuzungumzia afya ya mtu kwa kejeli as if wewe una health waranty.Tujadili hoja mambo ya afya ni siri yake na Mungu wake vivyo hivyo kwa kila binadamu
 
Binafsi nilishafanya maamuzi muda mrefu, kura ya urais kwa Magufuli, wabunge ndio bado sijafanya maamuzi.
 
Rais ni Lowasa,wengine ni kenge kwenye msafara wa mamba.
 

Lowasa wa sasa akili ilishapigwa na stroke ubongo umemegeka. Sehemu ya ubongo ya kumbukumbu imeaathirika, muoneeni huruma tu mzee wa watu. Kapewa kazi ambayo ipo juu ya uwezo wake lakini yote hii ni tamaa ya madaraka tu na uroho wa kuraka kujilimbikizia mali yeye na marafiki zake. Hakuna kingine. Kwa sababu kwa ugonjwa wake am sure hata ushauri wa madaktari haumruhusu kushughulika na mambo makubwa kama haya maana yanaweza kumfupishia maisha. Ngoja tuone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…