Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!

mtoa mada imekula.kwako.kwa taarifa yako tutamchagua hivyo hivyo.magamba mtakiona matako yatawafukuta sana mwaka huu
 
Hata wewe sio yule niliyekujua hapo mwanzo. Ulikua unatambaa, unajikojolea, na ulikua pia unakamasi kibao na hata kujinyea. Leo umebadilika sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaamini kabisa ccm inaweza kukubali itolewe madarakani tena na lowass! Nyie mshukuru mtaongeza idadi ya wabunge tu,muulizeni mrema au huyo maalim seif

umma ndiyo utawatoa sio lowassa ubishi wenu utawatokea puani
 
Hahahaha unaonaje kama tungemsimamisha Kibajaji kuwa mgombea wa chama chetu maana ni mtaalamu sana wa kuzungumza huyo kuliko kumuacha akaenda kufukuzana na ubunge.
 
Watu wakiamua hata kama huongei unachaguliwa. Kule wilaya ya Magu mwaka 2005 Mgombea udiwani alifanyiziwa akawa bubu lakini bado akashinda udiwani kwa kishindo.
Acha watu waamue, kama watafikishwa kwenye nchi ya maziwa na asali au kinyume chake, ni suala la muda tu!
 

Safi sana kwa kuwajibu kwa ustaarabu.
 
Lowasa kwa sasa ameimarika zaidi kuliko alivyokuwa CCM, hakika naamini ataimarika zaidi na kuwa fit ifikapo 27/10
 

Vipi mkuu? Mbona mgombea wenu Dr.Magufuli mmemsahau jamani? Nani atamfanyia publicity, maana kila ck mnatusaidia kumpa publicity mgombea wetu wa UKAWA. Sasa imekuwa kila anakopita ni Tsunami tu. Kulikoni? Msimsahau hivyo mgombea wenu, amebaki mkiwa
 
Last edited by a moderator:
Masaburi ya mchina...!!! Mtauziwa hadi nyama za punda..mkomeeee...CCM imetumaliza jamani hadi wachina wanatuuzia nyama za punda..!! Na kiwanda kipo nchini mwetu...!? Yaani hawa wangefungwa maisha...!!!
 

Ile pilipili mliotwanga pale DODOMA ilikuwa kali sana ee! Imewapalia ,naona mnakohoa ovyo.
Mpaka mkohoe damu mwaka huu.

Hatuangalii rangi ya Paka, tunachoangalia uwezo wake wa kukamata Panya.

Tafuteni mashimo ya kujificha,kama ni hapa Tanzania au Uhamishoni.
 
Last edited by a moderator:
Vipi mkuu? Mbona mgombea wenu Dr.Magufuli mmemsahau jamani? Nani atamfanyia publicity, maana kila ck mnatusaidia kumpa publicity mgombea wetu wa UKAWA. Sasa imekuwa kila anakopita ni Tsunami tu. Kulikoni? Msimsahau hivyo mgombea wenu, amebaki mkiwa

Ile pilipili ilikuwa kali sana.
Wao walidhani pilipili hoho.
Waache wamsahau mtu wao.
 
Lowasa hata akianza kutembelea magongo kura yangu kwake iko palepale tu.
 
Waaambie watanzania sio wajinga huo umati mnajiaminisha mtashinda never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…