Wanamshangaa kikongwe aliyehama chama, mtu mzima tena mzee anahama mji wake ..si siri Lowassa atakuwa ana matatizo makuuuubwa sana sijapata kuona ..
Mkuu,Nadhani pia ni kuwa na haki na ukweli. Inaweza kuwa ni umri au udhaifu fulani wa kimwili. Ndio maana nawashangaia wanaosema ati Lowassa hajui kuzungumza; Lowassa alikuwa ni mzungumzaji mzuri sana na anasisimua ukimsikiliza. Sasa hivi bila ya shaka siyo sawa na 2008. Lakini la maana ni kuweza kusikiliza anasema nini hasa kuliko jinsi gani anakisema anachosema. Kama tunataka watu wanaoweza kupigisha stori bila kujali wanasema nini tunaweza kupata tatizo.
Mkuu,
Lowassa wa sasa hata anachokisema bila kusoma kinakuwa na upungufu wa mtiririko wa mantiki.
Lowassa wa sasa hata kusoma anapata shida!
Mkuu,Mbona huelewi! Tunahitaji kujua anasema nini na si kujua anasemaje! Hao wanaoweza kutembea na kuongea si ndiyo wenye kuzunguka tu kila leo nje, au wamefanyia nini nchi!?