Kuna haja watu wawe wanatumia majina yao halisi . kuna watu humu ndani wananipa mashaka hasa huyu Jamaa wa visa na mikasa ya mapenz SODOKU.
nahisi ni mtangazaji wa ITV au Clouds TV na Radio. Mara nyingi mikasa anayoandika baada ya muda huwa nakuja kuipata huko. Katka suala la mapenz. Hasa hasa namna ya usimuliaji wake uburudisha na kufurahisha.
Ukwel anaweka na fix humo humo ili mradi tu tupate ujumbe.