Huyu straika wa Simba kutoka Senegal ni hatari!

MzeePunch

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
1,412
Reaction score
203
Baada ya kupata taarifa kwamba Simba wanamleta straika kutoka Senegal aitwaye PAPA NIANG (mdogo wake Mamadou Niang), nilimwangalia kwenye Youtube na kugundua kwamba ni mkali. Jamaa anapiga mashuti makali kwa kutumia miguu yote miwili, na pia ni msumbufu kwa mabeki kama alivyokuwa Emmanuel Okwi. kama kweli Simba watampata straika huyu, watakuwa wamelamba dume. Tatizo ni kwamba viongozi wa Simba huwa wepesi ku-spot wachezaji wazuri halafu baadaye hawawapati sababu ya ubahili.
 
wachezaji wote wanaohusishwa kusajiliwa na mikia tunaambiwa ni hatari halafu baadaye wanaishia kukatwa tu

....mrundi ndyaisenga ameshakatwa tiyari sasa hivi anakunywa kahawa ya bujumbura,,,inaelezwa jamaa amekataa pesa ya mboga mliyotaka kumpa akasepa zake,,hamis kiiza hajiamin amin na yeye mda wowote anaweza katwa kama maguli
 
kama ni kwenye yu tubu itakua ya kutengeneza
 
mchezaji ataonekana uwanjani sio kwenye yu tubu na pia ukumbuke hachezi peke yake uwanjani
 
mimi namtakia heri sana tu tumpate maana ubabaishaji umeshakua mwingi sasa
 
sijalielewa vizuri suala la Kiiza
wachezaji wote wanaohusishwa kusajiliwa na mikia tunaambiwa ni hatari halafu baadaye wanaishia kukatwa tu

....mrundi ndyaisenga ameshakatwa tiyari sasa hivi anakunywa kahawa ya bujumbura,,,inaelezwa jamaa amekataa pesa ya mboga mliyotaka kumpa akasepa zake,,hamis kiiza hajiamin amin na yeye mda wowote anaweza katwa kama maguli
 
sijalielewa vizuri suala la Kiiza

Kuhusu kiiza ninauhakika simba imeingia mkenge,huwezi kusajili mchezaji aliyekaa idle bila kucheza mechi za ushindani msimu mzima ukatarajia matunda....hata hivyo pia kiwango chake kilikuwa kimekwisha tangu akiwa na yanga
 
"anayejua anajua tu" - wahenga
 
Attachments

  • 1440234742198.jpg
    1440234742198.jpg
    26.6 KB · Views: 176
Huyu si kashastaafu Mkuu? Sisi tunasajili wanaojua ambao mpaka sasa wanasakata gozi la ng'ombe.

Hata kiiza alikiwa amestaafu,kwani mmemtoa tim gani mkuu
 
Back
Top Bottom