Sasa kwanini unabishana na wanaojua..
Kwani nimekubishia kitu gani Mkuu unaejua?
Mimi nilikuwa nakwambia leo jumapili we unasema jumamosi.....
Duh.. Basi sawa, mi nilidhani leo jumatano.
mimi namtaka sana huyo msenegari aje aokoe jahazi
Mkali ka serunkuma?
Mkuu uwe unakuwa serious kidogo
Kwanini?
Ni afadhali mara 100 uwe na Elias Maguli katika foward line kuliko huyu sijui papa, sijui padri, sijui askofu kutoka Senegal!!!! Kuja kurudi simba yenye upinzani kama ile miaka ya 2000 hadi 2011 itachukuwa muda mrefu sana. Viongozi wa simba wamegeuka wanasiasa badala ya kuwa wanamichezo, usajili wanaoufanya unalenga kucheza na akili za mashabiki wao.Huyu jamaa kwa kumuangalia nimegunduka ni mzuri akicheza nyuma ya striker. Bado simba haijatibu tatizo tunahitaji mtu wa mwisho target man. Nadhani kwakuwa muda upo wamlete ndayisenga au mavugo then kiiza achomolewe.
Front line ikiwa na Mgosi n simon pembeni then kati awepo huyo niang n ndayisenga/mavugo hapo hatapendeza.