Huyu Tembo anafikiria nini? Na kwanini anafanya hivi?

Huyu Tembo anafikiria nini? Na kwanini anafanya hivi?

Gentle Giant.

Ni show of power.

Tembo hana ugomvi na mtu.

Ukisikia mtu kauwawa na tembo ujue huyo mtu ndio mkorofi.

Huyo hapo ni kama ana average weight ya 5-6T. Tembo mkubwa hua na 7T, huyo sio mkubwa sana.

Mnyama mstaarabu kama huyo unakuta watu wanamuua kwa tamaa zao na kwenda kuuza meno, kwenye utawala wangu jamaa wa hivyo lazima ndugu zao watawaimbia parapanda tu. Mzee Magu kawaimbisha ndugu ya watu wengi sana waliokua wanahusika na hiyo business parapanda
 
Back
Top Bottom