Huyu the Weekend ndo jinsi alivyo, makeup au kafanya upasuaji?

Kizota

Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
46
Reaction score
81
Maana nimecheck video ya wimbo wake mpya mle sidhani kama ndo sura yake kama sio makeup maana sio kujiweka vile, maana toka mwanzo najua the weekend ni mwimbaji flani hivi wa hip-hop music, inanijia sura ya jamaa kama 50 cent, kwani kawaje huyo jamaa nauliza.
 
Labda una mchanganya The game na the weekend,ila wabongo kwa kujifanya mnajua kila kitu ety umemfwatilia kwa mda mrefu,uwo wimbo mpya unaitwaje?
 
Yeah I broke your heart like someone did to mine, I know you won't love for a second time

Kumbe hii ni Hip hop duuh
 
Bangi mbaya Sana, hasa ukivuta ukiwa na njaa.
 
Ni video tu. Video yenyewe ina zaidi ya mwezi na ilishajadiliwa humu.
 
Kuna mambo mengine mnatafuta kwenda motoni bure yaani hata dhambi ya kuweka picha ikupeleke motoni kweli? Wakati hua mnakumbushwa kila siku, mambo mengine mnajitakia wenyewe
 
Jamani eeh mnaosema kuweka picha sina bando mi mwenyewe natumia free basic ndo naipata JF sasa siwezi kupost bila Mbs
 
Ndio huyu au? Google wanasema Canadian artist "The Weekend".
 
Si ndio
Kuna mambo mengine mnatafuta kwenda motoni bure yaani hata dhambi ya kuweka picha ikupeleke motoni kweli? Wakati hua mnakumbushwa kila siku, mambo mengine mnajitakia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…